JINSI YA KUTENGENEZA MANGO PICKLE (MANGO PIKO)
katika UjasiriamaliKuhusu kozi hii
Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza Mangopiko (Mango Pickle), kiungo cha kipekee cha kuongeza ladha kwenye chakula chako. Tunakuletea maelekezo rahisi na ya kufuata ili uweze kuunda kiungo hiki nyumbani kwako. Pata vidokezo vya jinsi ya kuchagua embe bora na mchanganyiko sahihi wa viungo ili kupata ladha kamili ya Mangopiko. Usikose nafasi ya kuboresha ujuzi wako wa upishi na kuongeza ladha ya kipekee kwenye chakula chako!
Maoni (1)

Ni vizuri sana.
Tunaomba muendelee kutufunza vitu vingi ili tuweze kujiajili. OK Asante sana kwa msada wenu