Kuhusu
Naitwa Selina Bedebede, mtaalam wa ujasiriamali na biashara mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20. Katika Shule ya Ujasiriamali, nafundisha utengenezaji wa bidhaa kama sabuni, viatu, na batiki, na kusaidia wajasiriamali kukuza biashara zao kwa mbinu bora na za kisasa. Ninaamini kuwa elimu ya ujasiriamali ni ufunguo wa kujenga jamii yenye mafanikio na ustawi.